kwamamaza 7

Wapiganaji wa ADF wamewaua watu 6 Kivu ya Kaskazini

0

Kama uzoefu wapiganaji wa  ADF/Nalu ambao wana ukoo wa Uganda wanazorota usalama wa raia sehemu ya Beni mkoani Kivu ya Kasikazini hivi tena wamewaua raia 6 katika kijiji cha Kitevya karibu kilomita 8 kutoka Beni.

Amisi Kalonda, msemaji wa sehemu hiyo amesema kwamba walivamiwa na hao wauwaji na kuwaua watu 6 paliwemo wanaume 4 na wanawake 2, wengine wawili wakajeruhiwa ila hawakufariki, kama redio okapi imeripoti, na msemaji huyu alisema tena kwamba wapiganaji hao waliwavamia wakitoka sehemu ya Kitevya sehemu ambao hakuna wanajeshi wa serikali wakati wa jioni.

[ad id=”72″]

Taarifa husema kwamba wapiganaji hao walipora dawa yote ambayo ilikuwa kwenye hospitali ya hapo Kitevya na kuwateka nyala kila yeyote ambaye walikuwa wakimukuta njiani.

Wapiganaji wa ADF wanajulikana sana sehemu ya Beni, na kila mwaka husema watu ambao wameuaa kupitia silaha za kiasili, na walikua wametiwa kwenye orodha ya kuongolea nchini Congo pamoja na FDLR, ginsi walivyo ondoa M23, ila mpaka sasa yaonekana serikali imeshindwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.