kwamamaza 7

Wanyarwanda wapatao miliyoni 9 wapo na simu ya mkononi – RURA

0

Disemba 2016, hesabu huonyesha ya kua wanyarwanda ambao hutumia simu ya mkononi imepanda hadi 80% kama vile hutangaza chama kinachusu kazi za taifa (RURA).

Chama hicho kimetoa ripoti ya kuwa hesabu ilikua kati ya 8, 858,000 na 8,921,000  Novemba na Disemba 2016.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ripoti ya RURA huonyesha ya kwamba kampuni ya tigo ilifaidika wateja wengi mwezi nenda zaidi ya kampuni zingine, ilifaidika wateja wapya 36,588 Disemba 2016 na kwa hayo wateja wake kafikia miliyoni 3,252.

Airtel kafaidika wateja 21,433 na ikawa na wateja miliyoni 1,596 na walikua 1,547 mwezi nenda.

Hata kama kampuni ya MTN ambayo ilikua ikiongoza na wateja 4,072 inaonekana kuwa wapinzani wanakaza mwendo, itabidii kufanya kampeine ili kukaza mwendo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.