[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Katika mashindano yalioandaliwa na chuo kikuu cha Singhad College of Engeneering  kundi la wanafunzi kumi kutoka Rwanda waliebukana tuzo Singhad Technical Education Society-Rwanda (STES-Rwanda).

Kwenye mashindano walialika vyuo 15 na waliopewa tuzo ni tatu wa kwanza walio fanya kazi yao katika dakika 5, kundi kutoka Rwanda husema walikua na uwasiliano mwema (best coordination) na katika dakika 5 walitengeneza gari la kuendeshwa na nishati ya jua (rayons solaire).

india

Wilson Ndayisaba, mmoja wa kundi anasema ya kuwa gari hilo huwa na uzito wa kilos 210, na inaweza tembea kilometa 35 kwa saa moja na kubeba mizigo ya kilos 500.

Wanafurahia tuzo hilo kwa kuwa wamepatikana katika tatu wa kwanza na kuebukana tuzo hata kama walianza na wamechelewa mashindano ikiwa wengine walianza kutayarisha miezi 6 kabla.

Walitoka Rwanda tarehe 15 Mach 2017, walipofika India wakatafuta vifaa na wakanza kutengeneza gari na mashindano mwenyewe yalifanyika tarehe 25-27 Mach.

Wilson Ndayisaba eti  “haikukuwa rahisi” iliwaomba kufanya utafiti, walitumika mchana na usiku, ya muhimu ilikuwa kuonyesha uwezo wa Wanyarwanda na ushirikiano.

Mashindano hayo hutayarishwa kwa ajili ya wanafunzi wa India wenye kusoma Engeneering, kusaidia kwa ajili ya maendeleo ya viwanda na hufanyika kila mwaka.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Nzitonda Kiyengo anasema ya kuwa kundi hili la watu 10 inatarajiwa wakati watarudi Rwanda watatengeneza gari kama hii na kuionyesha Wanyarwanda tarehe 1 Mei katika sherehe ya wafanya kazi.

Kiongozi wa Singhad Technical Education Society-Rwanda, Nzitonda Kiyenga, alisema ya kwamba siku chache nenda walifanya bango inayo towa mwangaza kupitia teknolojia na kutiwa katika wilaya ya Huye, ingine Kicukiro, eti “bango hizo ni wanafunzi wetu ndio wanauwezo wa kuitengeneza hapa Rwanda”.

Katika mambo yote wanapewa msaada kutoka kituo cha Kigali Digital Fabrication Laboratory (Fab Lab) wanahakikisha kwamba wapo na teknolojia kamili.

Fab Lab ndio iliwapa nauli ya kwenda katika mashindano India pamoja na wizara ya Teknolojia kamavile husema Nzitonda.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com,chanzo:izubarirashe

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.