kwamamaza 7

Wanyarwanda walio fukuzwa Tanzania wanashutumu viongozi kuwatesa kwa njaa

0

Wanyarwanda wamoja walio fukuzwa Tanzania wanao ishi katika kiini ya Taba, tarafa ya Kanyinya, wilaya Nyarugenge wanasema ya kuwa wanateswa wakikatazwa kwenda mbali na mahali wanapo ishi ili kwenda kutafuta namna ya kuishi kwa maisha ya kila siku.

Wanasema ya kwamaba wanaambiwa na viongozi wa ngazi za msingi kama wakitoka na kwenda mbali ya nyumba wanazo ishi watanyanganywa na kupewa wengine.

Ila wao husema ya kuwa wanahitaji kwenda kutafuta maisha kwa sababu serikali haiwapi tena chakula kama ilivyofanya walipo kuja Rwanda.

Kuwa hawapewi tena chakula na kuwakataza kwenda kutafuta mbali ya nyumba zao kutafuta chakula, pia kuwa hawana nafasi ya kulima, hayo yote yanasukuma maisha kuwa mabaya siku kwa siku kwa sababu wanaishi kama wafungwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanahitaji kuruhusiwa kwenda kutafuka kazi nafasi yoyote katika nchi na wenye kuwa na wasiwasi ya kuwa wanaweza kuuza nyumba zao wanaweza tiya uchunguzi, ila wanaomba kuachiliwa huru wasiteswe kwa njaa.

Uongozi wa wilaya ya Nyarugende wanakana ya kuwa hayo ni uongo wakisema hakuna aliye katazwa kwenda kutafuta mafanikio mahali pengine, na kuna mpango wa upekee kwa walio toka Tanzania kuwatafutia kazi hata kama wao husema ya kuwa wanazuia na viongozi wa ngazi za msingi.

Hata kama wilaya ya Nyarugenge wanakana hao, mara nyingi ukifika mahali wanapo ishi utawakuta wakiketi tena masaa ya kazi, kwa hayo ni vigumu kujua ni nani mwenye ukweli.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.