Home HABARI MPYA Wanyarwanda 21 wametiwa mbaroni DRC
HABARI MPYA - February 10, 2017

Wanyarwanda 21 wametiwa mbaroni DRC

Kiongozi wa chuo (DGM) kinacho husika na wanao ingia na kutoka Congo, tarhe 7 Februari, aliwaonyesha wanyarwanda 21 ambao walikamatwa wakina na vitambulisho vya uchaguzi vya nchi Congo, na kitendo cha kuwaonyesha hazarani kilifanyika mjini Goma katika Kivu ya Kasikazini.

Kiongozo huo, ametangaza ya kuwa walikamatwa wakati walipo vuka mpaga ujulikanawo kwa jina la Grande barriere wakielekeza Goma wakiwa pia na vitambulisho vya uraia wa Rwanda.

Wawili kati yao wametoroka, wengine 19 wanafungiwa kwenye gereza ya upelelezi ijulikanayo kwa jina la T2 mjini Goma sehemu ya Nyiragongo kama vile husema radio Okapi.

Carte d'électeur.
Carte d’électeur.
[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa husema pia ya kuwa mwezi Januari wengine wanyarwanda walikamatwa wakishutumiwa makosa kama hayo pia.

Norbert Bazengezi Katintima, kiongozi mwakilishi wa uchaguzi amesema ya kuwa upelelezi huendelea ili kujua ni biashara gani hufanywa sehemu hio ya Nyiragongo.

Eti: “tumepokea taarifa hio, ila hatuwezi hakikisha kama ni ukweli ao uongo, ni vema upelelezi umalize kazi kwanza”.

Uchaguzi nchini Congo ulitarajiwa mwaka nenda ila ukahamishwa hadi mwaka wa 2018 rais Kabila akiongoza, vitambulisho hivyo vya uchaguzi ndivyo pia vinavyo julikana kama vitambulisho vya uraia wa Congo Kinshasa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.