Swahili
Home » Wanyarwanda 20 walikamatwa wakiingia Uganda bila vitambulisho
HABARI

Wanyarwanda 20 walikamatwa wakiingia Uganda bila vitambulisho

Polisi ya Uganda ametia baroni Wanyarwanda zaidi ya 20 katika wilaya ya Kabale wakiwa katika nchi ya Uganda bila vitambulisho.

Kiongozi wa polisi ya Uganda katika wilaya ya Kabale, Elly Maate, alisema kuwa walikamatwa wakiti polisi ilisimamisha basi wakiwa ndani wakielekea nchi hio.

Maate alisema kwamba hawakuwa na vitambulisho vya usafilisaji na mengine, aliendelea na kusema kwamba Wanyarwanda hao walikuwa wakielekea Kampala katika basi ya Baby Coach yenye namba UAM 897C kama vile husema The New Vision.

Kiongozi huo aliambia wenye kuwa na magari yenye kutwaa wasafiri kujiazali na watu kama hao wasio kuwa na vitambulisho kwa sababu mara nyingi hua na mipango mibaya.

Hata kama polisi hukataza kutwaa watu wasio kuwa na vitambulisho, Amuza Mugume, kiongozi makamu wa kampuni hio yeye husema kuwa haitawezekana.

Eti “Sisi tunakubaliwa kutwaa watu baada ya kuonyesha kuwa wamelipa pesa zao na hivyo jinsi vilitendeka kwa ajili ya hao, ni aje ningelijua kuwa wapo katika nchi hii bila vitambulisho?”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanyarwanda hao wamekamatwa na mwaka 2016 Disemba, serikali ya Uganda ilirejesha Wanyarwanda 41 walio kamatwa wakiwa Kabale, baada ya kuingia kinyume na sheria.

Wengi katika raia hao ni wenyeji ya wilaya ya Burera, jimbo la Kaskazini, walikuwa wamekwenda kutafuta kazi katika mashamba ya chai.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com