kwamamaza 7

Wanapolisi wa Rwanda wametoa waoni kwa raia wa Centrafrika

0

[ad id=”72″]

Kwa mwisho wa wiki nenda wanapolisi wa Rwanda wenye kuwa katika utumwa wa kuleta amani chini Centrafrika wajulikanao kwa jina “ United Nation Multi-Dimensional Integrated Stabilisation Mission in CAR (MINUSCA)” walijiunga na raia wa huko kwa kazi ya umma na walipata muda wa kuwaongelesha kuhusu mpango wa Rwanda wa kujitafutia jibu wenyewe, wakitazama yanayo stahili na yasiyostahili, kutumika kwa umoja, maendeleo na usalama wan chi.

afrika1

Hiyo kazi ya ummma ilifanyika tarehe 30 Disemba 2016 sehemu ijulikanayo kwa jina la Bazanga; na Potopoto; katika mji mkuu “Bangui”.

Kiongozi wa kundi la wanapolisi wa Rwanda, Assistant Commissioner of Police (ACP) Elias Mwesigye alishukuru wakaaji wengi walikua mahali hapo kwa kuwa wao wenyewe wanahusika na kuwania amani na usalama.

Kasema,”maendeleo ya nchi yenu ipo mikononi mwenu na kuyafikiwa munaombwa kuwa na lengo, kwa matendo, kufanya kazi kwa pamoja mukiipenda nchi yenu”.

afrika2

Pamoja na wanapolisi wa Rwanda, mpatanishi wa MUNISCA kwa kuleta amani na usalama, Be Rinah; naye alikuwepo kwa kazi hio ya umma.

Mpango wa kazi ya umma ilianzishwa na ngazi za usalama za Rwanda (polisi na jeshi) wenye kuwa Centrafrika mwaka jana, na imewaunganisha na kurudisha uhusiano mwema kwa wakaaji wan chi hio.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.