Umutoniwase Linda alichukuwa nafasi ya Umuhoza Simbi Fanique ambaye alifanya siku tano akiwa wa kwanza kwenye kura za simu wakati kunabaki masaha machache ili 15 wa kwanza wajulikane kwa kuendelea na mashindano.

Hawa wakinadada wote 26 walifanya mazoezi ya mwisho jana na wakamaliziya na maombi Remera pajulikanapo kwa jina la Petit Stade.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Umutoniwase Linda ana urefu wa meta 1, 73, ana kilo 55, yeye ni mwakilishi wa jimbo Mangharibi akiwa pamoja na Elsa Iradukunda, Guelda Uwineza, Sandrine Uwineza, Cardine Umutoni na Uwase Hirwa Honorine.

Umuhoza Simbi Fanique wa jimbo la Mashariki alifanya muda murefu akiwa wa kwanza, sasa yupo nafasi ya pili.

Binti ambaye atakuwa kwenye orodha ya watu 15, leo tarehe 4 Februari atakuwa amebahatika kuyafanya mashindano ya mwisho ya kuwaniya kuwa Miss Rwanda 2017.

linda7

PICHA

linda6
Mutoniwase Linda

linda1 linda2 linda3 linda4

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.