Swahili
HABARI

Wanaomba adhabu kali kwa ajili ya wizi

Wakaaji wa kata ya Matyazo katika wilaya ya Nogorero wanasema kuwa wanasikitishwa sana na wizi ambao huiba mavuno na mafugo, na wanaomba ngazi ambazo huhusika kuwapa adhabu kali wale ambao hukamatwa.

Sababu ya kusema maneno hayo ni kuwa wakati wizi wanakamatwa na kupelekwa polisi kwa saa chache wanaonekana wakitembea, na polisi husema walikosa uhakikisho.

[ad id=”72″]

Kiongozi wa kata ya Matyazo, amesema kua tatizo hilo lipo, ila ni lazima raia watiye nguvu kwa kulinda usalama, na watakao shikwa na kitu fulanai ambacho kimeibwa sherti wafikishwe mahakamani.

Mujawamariya Annonciata ni mkaaji wa Matyazo, eti “ tunahuzunikishwa na vijana ambao huketi kando barabarani kila siku, wakati wa jioni ama usiku wanakwenda kuiba mafugo hata chohote wakutacho, hawachaguwi kwa kuiba hata mavuno mashambani”. Aendelea na kusema wakati wanafikishwa kwenye polisi, hushituka na kuwaona nyuma wakirudi manyumbani kwao.

Kwa hayo wanaomba yeyote atakaye kamatwa kupewa adhabu kali pakiwemo kufungwa na kutoa garama kubwa.

Kiongozi wa kata hio, Habiyakare Etienne amesema kuwa huwaachilia ni sababu viongozi wakosa washuhuda na uhakika wa yale yalio ibwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com