kwamamaza 7

Wanaojidanganya kutufyetuaa, sisi tutawafyetua – Lt Col Mutembe

0

Kiongozi wa askari jeshi kati wilaya ya Nyarugenge na Gasabo Lt Col Mutembe Frank alishukuru ushujaa wa jeshi la Rwanda ambazo ndizo zilihusika ili tufike wakati huu, na anahakikisha ya kuwa hakuna yeyote anayeweza ingia ili kuvamiya utulivu na usalama ya wanyarwanda.

Wakati wa sherehe ya mashujaa wa Rwanda katika wilaya ya Nyarugenge alitoa ujumbe na kusema ya kuwa wale ambao wajidanganya na kusema kama watatumaliza, wasubutu waadanyike wajuwe kwamba sisi hatuchezi.

Lt Col Mutembe aliendelea na kusema ya kwamba hakuna hata siku moja adui atakaye ingia katika nchi yetu, ila jeshi la Rwanda litamkuta nafasi alipo na ndio kuulinda usalama.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Aliwakumbusha vijana kutia hatua ili kujenga nchi wakiendela yale mashujaa walianza ili kuendelea mbele zaidi.

Lt Col Mutembe alisema ya kuwa hakuna hata siku Rwanda itaketi pamoja na adui ili kuongea eti “ hata kamwe tutakumbatiana na adui wetu”.

Kiongozi wa wilaya ya Nyarugenge Kayisime Nzaramba aliongezea na kusema wanyarwanda wawe wenye tabia njema, ushujaa hutafutiwa na huanzia kwa kitu kidogo sana.

Shere ya ushujaa wa Rwanda ni kila mwaka na kuwakumbuka mashujaa waliopoteza maisha wakati wa vita wa kukomboa nchi, na hivi sherehe hiyo ilipitika katika vijiji nchi nzima.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.