kwamamaza 7

Wanaoelekea hospitali ya Kabgayi wanamlilia Askofu Mbonyintege

0

Wakati wa sherehe ya sikuu ya waongonjwa, wanaoelekea hospitali ya Kabgayi wanaomboleza wakimlalamikia Uaskofu wa Kabgayi wenye kuwa na majukumu ya kuchunga hospitali hio kwa kuwa hawaraisishiwe kuonana na dokta wakati wamepewa vibali kutoka vituo vya afya.

Wamoja wa wagonjwa waliambia uongozi wa hospitali ya Kabgayi kuwa wanapewa huduma mbaya na wafanya kazi wa hospitali, kwa wasabau wakifika hapo wanadumu muda murefu wakisubiri kuonana na dokta kwa sababu hawaraisishiwe, wanaomba kutatua swala hilo kwa kuwa wapoteza muda hata kipesa.

Mbuguye Wellars, aliye kuwa mwakilishi wa wagonjwa katika hospitali, alisema swala hilo hudumu na kusemwa siku kwa siku ila hakuna jibu, na wamekwisha kuchoshwa na kupewa mipango isiyotimizwa kwa wagonjwa wote kwa ujumla.

Eti “Sisi wagonjwa tunaomba uongozi wa hospitali ya Kabgayi kukosoa na kujali wanao elekea hospitali hio, kwa kuwa tunapewa mipango ya kuonana na dokta ili haitimizwe”.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Askofu wa Kabgayi Musenyeri Smaragde, ambapo kuna kikao cha hospitali hiyo, alisema kutopewa huduma njema hutokana na madokta wachache kutokana na wagonjwa wengi wanao elekea hospitali.

Kamana Sostene, kiongozi wa afya katika wilaya ya Muhanga, alisema kuwa swala hilo hutazama pia uongozi wa wilaya kwa kuwa walifikilia hata katika mipango ya kipesa ya mwaka huu, kwa kuwa kuna usemaji kwa ngazi ya wizara ya afya ili waweze ongezea madakta katika hospitali ya Kabgayi na iwe suluhisho kwa wagonjwa wanao elekea hosptali hio.

Siku kuu ya wagonjwa iliundwa na Papa Yohana Paulo wa Pili mwaka 1992, na ilikuwa na lengo la kujali wagonjwa wasiojiweza sehemu tofauti katika hospital kwa ajili ya wasio pata matibabu.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.