Wanamsako wanaohusika na usafi wa wilaya ya Kicukiro 82 kutoka viini cya wilaya hio wameombwa kuwa wahusika kwa kuzuia makosa kwa ngazi tofauti.

Ujumbe huo walipewa tarehe 31 Januari katika mkutano wakiwa pamoja na Inspector of Police (IP) Hamdun Twizeyimana; na anahusika na kazi za upatanishi wa wakaaji na ngazi zingine za wilaya ya Kicukiro, mkutano ulifanyika katika tarafa ya Kigarama.

Waliambiwa ya kuwa huduma yao haihusu usafi peke yake, ila waliombwa kuwa makini kwa kuzuia kila kitu ambacho huweza vamia usalama wa nchi, kama mfano wa wanao tumia dawa za kulevya hata wizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Anaye husika na usafi katika wilaya ya Kichukiro, Musanabaganwa Grace, aliwaomba kufanya iwapasavyo kwa kuhusika na usafi bora, na kama wanapatwa na shida ya usafi isiyo bora wanajulisha ngazi zenyewe kubwa, na kujikinga kuomba pesa wakaaji na garama.

Wanamsako wa usafi wamesema kuwa walikua na maongezi mazuri na polisi ya Rwanda yalikua muhimu na wamejua uhusiano wa usafi na usalama na uwajibu wao kuulinda wakizuia usafirisaji na ubiashara wa dawa za kulevya, na watakuwa wakitoa taarifa mapema.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.