kwamamaza 7

Wanamgambo wa FDLR wameauwa watu 9 waliopiganisha Wahutu

0

Kituo kinacho husika na haki za bianadamu (CODHAS), kinashutumu jeshi la Congo kutofanya lolote wakati raia walikuwa wakiuawa na wanamgambo wa FDLR sehemu ya Kishishe pamoja na Bambu.

Mauaji hayo kafanyika tarehe 11 April, wakati wapiganaji wa FDLR-Nyatura walivamia raia na kuwaua 9 na jeshi la Congo lilikuwa hapo karibu ila hawakutoa msaada kama vile husema radio Okapi.

Hervé Nsabimana, kiongozi wa CODHAS, katika wilaya ya Rutshuru (Nord-Kivu) alisema kwamba haieleweki jinsi watu waliuawa, eti “ katika wilaya ambapo kuko bataliyani ya FARDC, Polisi, jeshi la Upelelezi, ni aje majambazi hushambulia na kuchoma manyumba pakiwa jeshi la FARDC?”

Msemaji wa sokola 2, major Guillaume Njike, alisema kuwa yale wanaoshutumiwa kuwa uongo kwa sababu walikuja wakileta msaada kwa raia.

Eti: “tulijaribu kutatua tukasimama kati ya makabila mawili, mulitamani tufanye nini? Kufyetua lisasi wakaaji?”. Aliendelea na kusema kwamba tatizo ambalo makabila walikuwa nalo halingetatuliwa nao peke yao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa kutoka wakaaji wa sehemu hio husema kwamba FDLR Nyatura, ilifanya shambulio la mauaji kwa kulipizia kisasi wenye kabila la Wahutu kwa sababu waliteswa sana na vijana wa kabila la Wanade, wakiwashutumu kuwasiliana na FDLR kwa kuvamia usalama.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.