kwamamaza 7

Wanamgambo 10 na wanasheshi 2 wa serikari wafariki katika mapambano

0

Katika mapambano makali yaliofanyika siku ya ijuma wiki iliopita, sehemu ya Ituri huko DRC kati ya wapiganaji wa “Union des patriotes pour la liberation” na wanajeshi wa serikari ilisababisha vifo vya wapiganaji 10 pamoja na wanajeshi wawili.

Mapambano hayo yalianza mara moja na wanajeshi wa serikali sehemu za Sun City, Makamanda, Kanyabundi, Pangoy, Kitembo na Luluwa Pumuzika. kiongozi wa jeshi la huko ituri Colonel Yav Anvule Robert alisema kwamba wapiganaji hao walikua na lengo la kujenga kikao huko ili kuudharau usalama wa nchi.

[ad id=”72″]

Taarifa husema kwamba aliyekua kiongozi wa wanamgambo hao anayejulikana kwa jina la Mumbere Sumbadede kwamba naye amepoteza maisha kwenye mapambano hayo, na wanajeshi wa serikali waliweza kuzichukua silaha za wapiganaji hao kabla hawakakimbia kwenda sehemu ya Lubero.

Kiongozi Omar Kavota ametoa uwito kwa serikali ili kuongea na wapiganaji wote wa sehemu hio ili waweze kuelewana na wasiweze kujiunga pamoja na kufanya kundi la wapiganaji lililo kubwa kwa kupiganisha serikali.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.