kwamamaza 7

Wanajeshi wa Burundi kwenye mpaka na Rwanda watakiwa kuwa tahadhari

0

Serikali ya Burundi imewataka wanajeshi wake kwenye mpaka na Rwanda kuwa tahadhari.

Hili ni baada ya taarifa kuenea kwamba  wanamgambo wanaoshambulia Rwanda siku hizi wanatoka nchini Burundi.

Msemaji wa Jeshi la Burundi, Floribert Biyereke   amekanusha taarifa hizi kwa kusema hakuna watu wenye silaha  kwenye mpaka wa Rwanda na Burundi.

Hataa hivyo, Jeshi la Burundi FNDB limewaomba wanajeshi wake kuwa tahadhari hasa waliokaribu na mpaka wake na Rwanda.

FNDB imehakikisha  taarifa za kuwa walioshambulia Wilayani Nyaruguru walitoka Burundi, imesema  taarifa hizi hazina uthibitisho

Tangazo linaleza wanajeeshi kwenye mpaka kuwa  tahdhari kulinda nchi yao.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.