kwamamaza 7

Wanahakikisha kuwa kuna mitume wa rushwa mahakamani

0

Wakaaji wamoja wanahakikisha kuwa rushwa imepanda ngazi mahakamani, wendesha mashtaka hawapewi rushwa ila inapewa marafiki zao ama wengine wakijiita mitume.

Kuna watu wenye kuwa na tabiya ya kusema wanajuana na wendesha mashtaka mahakamani na huomba rushwa watu ambao wapo na kesi fulani wakisema watawatetea na ya kuwa wataebukana usindi.

Bagirishya Epimac anahakikisha kuwa tabia hio ipo eti “unamuona mtu akija na kusema kama hakuna mtu ambaye anajuana na mwendesha mashtaka fulani ambaye anafuatilia kesi yake, na mtu akipatikana anapewa rushwa ili naye akaifikishie mwandesha mashtaka, kuna wanao faulu wengine wanashindwa kwenye mahakama, na hakuna jinsi ya kuomba pesa zake kwa kuwa wanazitoa kwa uficho”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa uwingi wakaaji husema hio aina ya rushwa pamoja na wendesha mashtaka ipo. Wendesha mashtaka wa Rubavu wanahakikisha kuwa hayo ni kweli, ila rushwa hio huliwa na wale ambao husema wanajuana na kuwatetea kwenye mahakama na wanaharibu ngazi za wendesha mashtaka.

Hategekimana Danny, kongozi wa mahakama ya Rubavu eti “hata kama kuna rushwa, hesabu inayotolewa si kweli, yawezekana watumishi wa mahakama kupewa hio rushwa, na kuna nyingi inayoitwa rushwa na haipewe wana mahakama, mfano ukifika nje mtu anakuliza ya kuwa alikuona ukisimama ni kiongozi, sijue kama unaweza kunitetea ili nimuone, anakudanganya ya kuwa ametatua na matukio yatakuwa wamema na mwisho unapoteza na wanasema nilikula rushwa ijapo kuwa ni uongo” kama vile husema izuba rirashe.

Kiongozi aliendelea na kusema kuwa ni vigumu kutambuwa watu kama hao kwa sababu anayeweza toa taarifa ndie mwenye kutoa rushwa.

Kosa hilo hukamatwa kama uwizi na udanganyifu na anayekamatwa huazibiwa kifungo kati ya miaka tatu na tano na garama ya miliyoni tatu hadi tanu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.