kwamamaza 7

Wanahabari wameombwa kupenda Rwanda hata kutoa maisha

0

Kaboneka Francis, waziri wa utawala wa nchi, aliomba wanahabari kuwa na mila ya kupenda nchi kila mmoja akiwania mema kwa ajili ya nchi Rwanda, kaambiwa hayo jana tarehe 25 April 2017 wakimalizia mafunzo katika kituo Nkumba katika wilaya ya Burera.

Ujumbe wana habari walio pewa ya msingi ni kuhusu kuipenda nchi, walionyeshwa kuwa ndio ilikuwa tabia ya Wanyarwanda tangu zamani za kale na kupanua nchi.

Aliendelea na kuonyesha jinsi mila hio kamalizwa na wakoloni, mila ya kuipenda nchi ikahamishwa na mila ya tumbu kubwa, umoja wa Wanyarwanda ukabomolewa, ubaguzi ukachukuwa nafasi na ndio yalio zua mauaji ya Kimbari dhizi ya Watusi mwaka wa 1994.

Kasema eti “muwe na tabia ya kuipenda nchi, kila mahali mupiganishe watakao sema vibaya nchi yenu, na ikiwezekana unaweza poteza maisha, kupenda nchi haina mpaka”.

Isipo kuwa mila ya kupenda nchi, waziri Kaboneka aliomba hao wanahabari kuzingatia mila ya Rwanda kwa ujumla kwa sababu hua fundo linalo unganisha Wanyarwanda, akiwakumbusha kwamba kuacha mila inalinganishwa na kukataa nchi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanahabari walioshiriki kituo cha pili cha mafundisho, walifundishwa usamini wa mila ya wanyarwanda na yasiyo  kubaliwa, historia ya nchi na utangazaji habari, michezo na masomo mengine kuhusina na kupenda nchi na namna ya kujitoa hata maisha kama ikihitajika.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.