kwamamaza 7

Wanafunzi 45 hawatafanya mtihani wa taifa

0

Wizara ya elimu imetangaza kwamba wanafunzi 45 waliojiandikisha kufanya mtihani wa taifa wa kufunga mwaka wa masomo wa 2016, hawatafanya mtihani kwa sababu tofauti.

waziri wa serikali kuhusika na shule za msingi na sekondari katika wizara ya elimu, Isaac Munyakazi, alisema jana katika mkutano na waandishi wa habari kwamba katika wanafunzi hao 45 kuna 20 wa kibinafsi na wengine 25 wa kawaida.

[ad id=”72″]

Munyakazi alisema kwamba katika usahihi walifanya siku zilizopita wa kuthibitisha kama waliojiandikisha wote wanakuwepo, waligundua kwamba kuna wanafunzi wa kibinafsi walitumia hati za kughushi za kuonyesha kwamba wamemaliza shule za kiwango cha kawaida (Ordinary Level) katika shule za sekondali.

Alisema, “katika wagombea kufanya mtihani 820 wa kibinafsi waliojiandikisha kufanya mtihani, kuna 20 wanakuwa na hati za kughushi za kuonyesha kwamba wamemaliza shule za kiwango cha kawaida katika shule za sekondali; hao hawatafanya mtihani pia tumeisha julisha polisi ili kufanyiwa uchunguzi.”

[ad id=”72″]

Wanafunzi wa kawaida 25 wamezuiliwa kufanya mtihani wa taifa wa kufunga mwaka wa 2016 kwa sababu ya kaucha shule, tatizo za ugonjwa, kuna waliohamia nje ya nchi na sababu ya tabia mbaya za wanafunzi baada ya kujaza karatasi ya kufanya mtihani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.