Swahili
Home » Wanafrika hawana budi kutoa suluhisho la changamoto zao -Rais Kagame
HABARI MPYA KIMATAIFA SIASA

Wanafrika hawana budi kutoa suluhisho la changamoto zao -Rais Kagame

Rais wa Rwanda,Paul Kagame ametangaza kuwa wanafrika wanapaswa kutoa suluhisho la changamoto zao kinyume na kutegemea watu kutoka nje.

Akiwa mkutano wa kimataifa kuhusu amani na usalama nchini Senegal, Rais Kagame ameleza kuwa kutoelewana kati ya nchi za Afrika ndilo chanzo cha uhaba wa usalama barani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tunaweza kutatua changamoto zote kama tumeungana mkono,tukiachia wengine kutatua changamoto zetu,tunapaswa kuulizwa”ameleza Kagame.

Pia Rais Kagame amesema kuwa umoja wa Afrika haumanishi kusahau kuungana mkono na watu wa nje ya Afrika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameongeza kuwa haifai kutumia nguvu za kijeshi kwa kutatua masuala ya usalama barani Afrika kwa kuwa mambo ya kijamii,maendeleo ni muhimu mno.

Rais Kagame ametangaza haya wakati ambapo kunatarajiwa kuwa ndiye atakayeongoza Umoja wa Afrika mwaka 2018.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com