Swahili
Home » Wanachama wa RPF-Inkotanyi kuhojiana na wanachama tawala nchini Uchina
HABARI MPYA KIMATAIFA SIASA

Wanachama wa RPF-Inkotanyi kuhojiana na wanachama tawala nchini Uchina

Katibu mkuu wa chama tawala nchini Rwanda RPF-Inkotanyi,Francois Ngarambe leo tarehe 25 Septemba amekaribisha wajumbe wa chama  tawala cha ujamaa nchini Uchina,Communist Party of China,(CPC).

Katibu mkuu wa chama RPF,Francois Ngarambe akiwakaribisha wajumbe wa chama CPC.

Kunatarajiwa kuwa wa wajumbe hawa  wanaongozwa na Xia Shujun watahojiana na wanachama wa RPF katika mazungumzo yenye mada”Strengthening Capacity Building of the Ruling Party” yaani “Kuimarisha uwezo wa chama tawala”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Francois Ngarambe ameleza kwamba ziara hii ni ishara ya ushirikiano mzuri kati ya vyama hivi viwili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa CPC,wameshukuru hatua ya maendeleo kwa utawala bora wa chama cha RPF-Inkotanyi na kumpongeza Rais Kagame kwa ushindi wake wa uchaguzi kwa kura 98.7%.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kuna ushirikiano wa kiuchumi kati ya Rwanda na Uchina miaka 45 iliyopita,ni baada ya ziara yake Rais wa Jamhuri ya Rwanda,Paul Kagame mwezi Machi 2017 nchini Uchina na kuzungumza na mwenzake,Xin Jinping.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com