kwamamaza 7

Wamejeruhiwa wakati wa mapigano kati ya wanyarwanda na wachina

0

Tarehe 9 Novemba jioni palikuwepo mapambano makali kati ya wafanyakazi ya ujenzi hapo Rwanda na wachina ambao ni viongozi wao kwenye ujenzi wakidaiwa kutolipa na wengi wamejeruhiwa.

Kama vile hutangazwa na wafanyakazi hao wa Rwanda, wasema kwamba imefika kiwango ya juma mbili bila kulipwa na tena kazi ya ujenzi ambao ilikua ikiongozwa na hao wachina imeisha malizika, wasema hawajui sababu gani hawajalipwa.

Mapigano hayo yalikumbwa na kutolipwa kwa upande wa wanyarwanda, na wakapigana hata kwa pande zote mbili kukapatikana majeruhi, waliochukuliwa kwenye hospitali ya “Kibagabaga”

[ad id=”72″]

Msemaji wa polisi mjini Kigali SP Emmanuel Hitayezu amesema kwamba mpaka sasa hakuna anayepigwa jela kwa sababu pande zote mbili zilihusika na chanzo cha mapigano hayo, ila walifanyishwa maongezi ili kila upande kutatua yanayomuhusi kwa njia nyofu.

Mapigano hayo yamepatikana wakati taarifa husemwa kwamba wachina huwa na desturi ya kutolipa wafanyakazi na kuwavamia kwa aina mbalimbali.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.