kwamamaza 7

Walirudi Rwanda wakiwa na kiwewe baada kuona watu wakiliwa

0

Nshimiyimana Safari pamoja na Mukarugema Costasia wanashukuru Mungu kwa kuwa aliwaokoa na kuwatosha mahali watu hula wengine.

Wote wawili ni raia wa Rwanda walio rejea mwezi Februari 2017 wakitoka katika jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ila wanasema ya kwamba walishituka walipo ona watu wanaua wengine na kuwakula kama chakula.

Wanahakikisha ya kwamba wapiganaji wa  Mayimayi wa kabila la wakobo na walyoko wa wilaya ya Walikale kuwa wanaua watu na kuwakula na wakula sana wanao sema lugha ya Kinyarwanda.

Nshimiyimana Safari mwenye ukoo wa Musanze alikimbia mwaka wa 1994, alisema ya kuwa wapiganaji wa mayimayi kuja na kuwaua watu na kuwakula hazarani watu wakitazama, hakuna aliyekosa mtu wake na kumutafuta kwa sababu wanakula watu kama wanyama kama vile Mukarugema Costasia naye huhakikisha hayo ya kuwa waliona kwa macho yao.

Wanaendela na kusema hata kama hawaja ona jamii zao wameanza ona mema ya Rwanda na bado kufika sehemu tofauti na kusema ya kwamba nchi imesonga mbele.

Faida Muhawe anahamasisha na kusema ya kuwa hawasikii tena masasu ni alama ya utofauti kati ya nchi yake na nchi ya ukimbizi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com,chanzo,uzubarirashe

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.