kwamamaza 7

Walio muua Gen Adolphe wanastahili azibio la kifo

0

Hayo yametangazwa na waziri wa ulinzi wa Burundi, Emmanuel Ntahomvukiye alipo kuwa akiongea na mabunge akisema wapo wanafanya uchunguzi ili azibio la kifo ambalo lilifutwa Burundi lirudishwe kwa ajili ya kupunguza makosa mamoja mamoja.

Kwenye orodha ya watakao azibiwa azibio hilo likikubaliwa na sheria ni wale ambao wako kinyume na sheria la jeshi na serikali, walio hitaji kugeuza utawala na wano husika na mauaji.

Waziri Emmanuel Ntahomvukiye alitoa mfano kwa watu walio muua Lt Gen Adolphe Nshimirimana tarehe 2 Agasti 2015 nao ni vema wauawe.

Gen Nshimirimana Adolphe alikuwa akihusika na upelelezi katika jeshi la Burundi, alikuwa kama jeshi maluum na nguzo kubwa katika chama CNDD-FDD na alikuwa mshauri wa rais Nkurunziza.

Gen Adolphe alihusika pia na usalama wa upeke wa rais Nkurunziza, na rais alionekana katika mazishi yake tarehe 22 Agasti 2015.

Askari jeshi 5 na askari polisi 3 ndio wanashutumiwa kuhusika na mauaji ya Adolphe Nshimiyimana na waliazibiwa kufungwa maisha, na mmoja kati yao alitoroka akapigwa risasi baada naye  kupiga risasi mwana polisi aliye kuwa kwenye ulizi wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.