kwamamaza 7

Wakuu wa polisi ya Burundi wamekataa kushiriki mkutano wa EAPCCO Kigali

0

Alhamisi taarifa ilisema ya kuwa wabunge tatu kati ya tisa waakilishi wa Burundi katika EALA walisema ya kwamba hawatashiriki mkutano wa EAC unao tarajiwa kufanyika Kigali mwezi ujao, hivi sasa taarifa husema ya kuwa polisi ya Burundi pia walikataa kushiriki mkutano ambao hufanyika Kigali pakiwemo polisi za nchi ya Afrika Mashariki (EAPCCO).

Hapo ni jambo ambalo huonyesha ya kuwa kati ya mawasiliano ya Rwanda na Burundi muna taka, ikionekana ya kuwa polisi wa Burundi wakanusha kushiriki mkutano wa jamii ya Afrika ya Mashariki.

ACP Morris Muligo, raia Rwanda ambaye anakwenda kuongoza kamati inayo husika na matendo ya EAPCCO, akizungumza na The East African alisema ya kuwa Warundi walikataa kushiriki mkutano ila hakueleza mengi.

Hayo yote ni baada ya wabunge tanu kati ya tisa wanao wakilishia Burundi ndani ya EALA walipo ambia kiongozi wao kwamba hawatashiriki mkutano utakao fanyika Kigali mwezi ujao na lengo itakua kuongelea siasa ya mahali.

Mkutano wa tatu wa kupiganisha ughaidi wa viongozi wakuu wa polisi katika nchi za Afrika ya Mashariki (EAPCCO) ilifanyika Kigali tarehe 21 hadi 22 Februari na ilikutanisha wajuzi wa jimbo hata kimataifa kwa ajili ya usalama kimataifa kuhusu swala la ughaidi na uharibifu kutokana na makundi ya uovu.

Burundi ni moja ya nchi za EAPCCO, nchi zingine ni Rwanda Uganda, Kenya, Tanzania, Comoros, Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Sudan, South Sudan, Seychelles, pamoja na Somalia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.