Muziki wa Rap ungali miongoni mwa miziki inayopendwa na watu wengi duniani.Forbes Magazine imetia wazi wanamuziki kumi ambao ni matajiri kuzidi wengine.

1.Dre– thamani: $1 Bilioni

2.Diddy– thamani: $750 milioni

3.Jay-Z -thamani: $600 milioni

4.Master P -thamani: $400 million

5.50 Cent – thamani: $190 milioni

6.Birdman– thamani: $175 milioni

7.Eminem – thamani: $160 milioni

8.Ice Cube– thamani:$150 milioni

9.Lil Wayne– thamani: $150 milioni

10.Snoop Dogg– thamani: $130 milioni

Muimbaji Dr.Dre amechukua nafasi ya Diddy aliyekuwa wa kwanza mwaka 2016.

Bonyeza BWIZA TV kupata habari  na nyimbo mpya

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina