kwamamaza 7

Wakurugenzi wa WASAC na EDCL wakamatwa

0

Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba imemkamata James Sano (WASAC) na Emmanuel Kamanzi (EDCL) kwa  kwa ukabidhi wa miliyoni frw 60.

Sano(kushoto) na Kamanzi(kuria)

Spika wa polisi ya Rwanda,ACP Theos Badege ameleza kwamba wakurugenzi hawa wanatuhumiwa ukabidhi na usimamizi mbaya wa mali ya serikali kulingana na taarifa za The Newtimes.

[xyz-ihs snippet=”google”]

ACP Theos Badege amendelea kwa kusema kwamba Sano anahusika na ujenzi wa kituo cha kusukuma maji kwa bei ya miliyoni frw 371  kinyume na sheria na kuwa Kamanzi anahusika na kuagiza vifaa vya umeme kwa bei ya frw 275.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Upelelezi unaendelea ili kubuni walioshugulika katika ukabidhi huu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.