kwamamaza 7

Wakulima wanaombwa kulima haraka bila kupita tarehe 15 Mach

0

Wakulima wa wilaya ya Nyaruguru wameombwa kulima haraka na wakuwe tayari wamepanda mavuno tarehe 15 Mach 2017.

Makamu kiongozi wa wilaya anaye husika na uchumi na maendeleo Bisizi Antoine aliwaambia raia hao kwa ajili ya kupambana na hali ya anga inayo weza badilika ili matokeo yasiwe mabaya

Katika kitendo cha kuanza kipindi cha ukulima kilifanyika katika tarafa zote za wilaya ya Nyaruguru na kwa ngambo ya wilaya ilifanyika katika tarafa ya Cyahinda palipo pandwa viazi ulaya hekta zaidi ya 40 kupitia msaada wa wilaya na LODA.

Aliomba wakulima kulima na bidii ili waweze pata malimbuko wakati mvua inanyesha kwa sababu hali ya hewa yaweza badilika.

Mukakariza Donathile, yeye alipanda viyazi ulaya katika tarafa ya Cyahinda eti “tunashukuri uongozi wema uliotuletea mboleo na kutayarisha mahali pa kulima kwani mbele udongo ulikuwa ukitwaliwa na mvua na kukosa mavuno”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ili kipindi cha ukulima kipitike vizuri, wizara ya ufugaji na ukulima inaomba raia wenye kuwa na mahindi mashambani bado kukauaka kutoa majani mbele ya tarehe 15 Mach 2017 ili waweze kupanda maharage mapema ili wasipatwe na ukosefu wa mvua.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.