kwamamaza 7

Wakulima wa mboga Kigali wameombwa ushirikiano wa soko

0

Wakaaji wanaofanya ukulima katika tingitingi za wilaya ya Kicukiro wameombwa ushirikiano nakutia nguvu pamoja ili kuongeza mavuno ya mboga na kutoshelea soko la Rwanda na bila kutegemea mboga kutoka kimataifa.

Hayo karudiliwa na katibu wa serikali katika wizara ya ukulima na ufugaji, Nsengiyumva Fulgence, jana tarehe 14 Mach 2017, wakati alikuwa akiwasiliana na wakulima wa tingitingi la Kajeke, tarafa ya Niboye, wilaya ya Kicukiro wakati walikuwa wakilima mboga za aina ya kabichi, karoti, haragwe na mengine hekta 13 kati ya hekta 23 za tingitingi.

Nsengiyumva alisema ya kuwa lengo ni kwamba tingitingi za wilaya zote za mji wa Kigali kulima mboga.

Eti “tuna hoteli ambazo huzuka siku kwa siku na wanatumia mboga kutoka nje, inatubidi kuzuia mambo hayo, hata kama turitayarisha tingitingi kuna mabo mengi yalio haribika, tuna kwenda kutengeneza upya ila wanaolima ndani sherti walime mboga”.

Hategekimana Simon, mkulima katika tingitingi alisema kulima mboga ni vema, ila wanasubiri matukio ya mavuno ya mboga jinsi itatosha kwa raia wa Rwanda kama vile mavuno mengine Rwanda.

Eti “tunasubiri kuona mafanikio, yawezekana kutusaidia ao mengine kuzidi yale yalikuwemo”.

Ujumbe kutoka katibu wa serikali katika wizara, ilirudilia matukio kwa ukulima wa kiasili usio wakati wa mvua na kukumbuka mpango wa kushotea maji mavuno ili kuzidisha mavuno.

Ukulima wa mboga katika tingitingi za mji wa Kigali ni hekta karibu 600 na inatarajiwa kutoshelea mji wa Kigali, hoteli na restorenti pakiwemo wanaotumia mboga kutoka nje ya Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com,chanzo:imvahonshya

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.