kwamamaza 7

Wakristu waliyo husika na mauaji ya kimbari walimpiganisha Mungu-Padri Ubald

0

[ad id=”72″]

Padri Ubald Rugirangoga amewaomba wakristu ambao wanajificha ndani ya ukristu na bado hawajaomba masamaha kwa yale ambayo walifanya wakati wa mauaji ya kimbari kufanya haraka na muda ungalipo kwa kua yeye aonya ni kama kupiganisha Mungu.

Huo padri alikua pamoja na wakristu wa kanisa katolika huko Nyunda, parokia ya Muhato wilayani Rubavu, amesema kwamba mauaji ya kimbari dhidi ya watusi munamo mwaka wa 1994, viumbe ambavyo Mungu aliumba viliuawa , wamoja ndani ya makanisa tofauti walipo kimbilia wakitafuta makimbilio ndani ya nyumba ya Mungu kama vile huripotiwa na imvaho.

Amehakikisha na kusema si vizuri kupita kinyume na kukana yale yaliofanyika kuwa watusi hawakuuawa na wapagani kwani kuna wale ambao walifia pembeni ya makanisa, hata wengine walishotwa vidole na viongozi wa makanisa.

Eti “Watusi waliuawa, hakuna anayeweza kana hayo, hata wamoja waliuawa wakiwa ndani ya makanisa katolika na mengine ambapo waliamini makimbilio kwa neema ya Mungu, lakini wakauawa, walio uawa na walio uwa wote waliumba kwa picha ya Mungu, ila walio uwa walimupiganisha Mungu aliye waumba”.

Akiendelea na kusema kwamba mauaji ya Kimbari yalifanywa hazarazi, na anahuzunika kuwa kuna watu ambao wanaendelea na kujificha baada ya miaka 22, wakati ndio huu kuomba vile masamaha hazarani kwa wale waliohusika, ni huzuni mkubwa kuona kuna wale ambao hawajawaende waliowakosea.

Ujumbe huu watolewa wakati wiki mbili nenda viongozi wa kanisa katolikwa waliwaombea washirika wao masamaha waliohusika na mauaji ya kimbari katika tangazo ambalo lilisomwa tarehe 20 Novemba 2016.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.