Wizara ya wakimbizi na majanga nchini Rwanda (MIDIMAR) imetangaza kuwa wakimbizi 33 asili ya Burundi waliokamatwa wanaweza wakashtakiwa mahakamani juu ya kuwahamasisha wanzao kugoma kupokea msaada.

Afisa kwa wajibu wa masuala ya wakimbizi,Jean Claude Rwahama ametangazia Sauti ya Marekani kuwa hawa wakimbizi watafikishwa mahakamani kutokana na kuwa walilofanya ni kinyume na sheria

“Tulienda kule kutoa msaada kama vile chakula,hesabu na kuchanja ila moja wao wamewataka wenzao kutokubali kusaidiwa lolote”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Akijibu suali la mtangazaji  kama hawa watafikishwa gerezani, Rwahama amesema” Inawezekana,Inawezekana kuwafikisha mahakamani,kama mnavyojua nchi yetu ina sheria za kufuatiliwa.Hakuna mtu anaye uwezo wa kupuuza sheria za nchi”

Tutaenedelea kuzungumza kuhusu hili,ni kawaida mtu yeyote kufuata sheria za nchi,ni sheria za kimataifa”Rwahama ameongeza

Wakimbizi waliokamatwa walitoka nchini DR Congo na ni wakazi wa eneo la Kayanza,  nchini Burundi ambao ni wafuasi wa mwanamume wanayemuita kuwa ni mhubiri,Zebia Ngendahimana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya Waziri wa Mambo ya Nje,Ushirikiano na Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC),Louise Mushikiwabo alisema kuwa ni vigumu kwa nchi yeyeote kuhudhumia wakimbizi wenye fikra za  kidini kama hawa wakimbizi asili ya Burundi.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.