Swahili
Home » Wakimbizi asili ya Burundi waipinga baadhi ya mipango ya serikali ya Rwanda
HABARI MPYA

Wakimbizi asili ya Burundi waipinga baadhi ya mipango ya serikali ya Rwanda

Wakimbizi  2579 asili ya Burundi waliotoka DR Congo wameipinga mipango ya serikalli ya Rwanda kama vile kutibiwa,kuchanjwa ama kula vyakula viliyotengenezwa viwandani kulingana na dini lao.

Waziri wa mambo ya nje Louise Mushikiwabo ametangazia  vyombo vya habari kuwa suala la hawa wakimbizi ni wasiwasi kwa Rwanda.

“Hawa wakimbizi wamesababisha tatizo kubwa kulingana na fikra zao zisizo za kawaida kama vile kutokubali kuhesabiwa kupitia mbinu za kisasa.Hawakubali kutibiwa,kuchanjwa,kuchanjwa ama kula vyakula vilivyotengenezwa viwandani”.

Waziri Mushikiwabo amesisitiza kwamba isipopkuwa Rwanda hakuna nchi nyingine ambayo inaweza kuwakalibisha wakimbizi wenye fikra kama hizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hata hivyo,Waziri Mushikiwabo ameeleza kwamba serikali itaendelea kuhojiana nao ili kuwashawishi kuhusu jambo hili.

Hawa wakimbizi walitoak nchini DR Congo juu ya uhaba wa usalama na kukimbilia nchini Rwanda.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com