Home HABARI MPYA Wakazi 35% watakuwa wakishi mjini mnamo mwaka 2024-Waziri mkuu
HABARI MPYA - SIASA - December 19, 2017

Wakazi 35% watakuwa wakishi mjini mnamo mwaka 2024-Waziri mkuu

Waziri mkuu Dk.Edouard Ngirente ameweka wazi kuwa serikali itafanya juu chini ili  idadi ya wakazi wanaoishi mjni iongezeke kutoka 17% hadi 35% mnamo mwaka 2024.

Waziri  mkuu ametangaza haya alipokuwa kwenye mkutano kwa jina la ‘Umushyikirano’ alipokuwa akionyesha miradi mbalimbali ya serikali kwenye mamlaka mpya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri Ngirente ameleza kuwa kuna miradi mingine kama vile maendeleo ya miji na mengine husika na uchumi kama vile kutilia mkazo maendeleo ya miji kwa kuongeza miji mingine itakayosaidia mji mkuu wa Kigali kwa kutimiza hili.

Mkutano kwa jina la Umushyikirano huhudhuriwa na Wanyarwanda  wa ndani wanaoishi ugenini.Mkutano huu unajadili kuhusu mengi kuhusu maisha ya nchi.Mala hii unatokea kwa mala ya kumi na tano.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.