kwamamaza 7

Wakati wa kuiona’ Cyangugu’ kama eneo la ziada  kwa Rwanda ulimalizika-Waziri Kaboneka

0

Waziriwa utawala wa nchi,Francis Kaboneka kwenye ziara yake ya kazi mkoa wa magharibi, amewambia wakazi wa wilaya ya Rusizi na Nyamasheke kuwa wanakoishi si ziada  kwa Rwanda kama ilivyofikiriwa zamani.

Waziri Kaboneka ameleza kuwa serikali inawasogelea kwa kutafuta namna ya kusonga mbele kiuchumi hasa kujenga kisasa mji wa Rusizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia amehamasisha wakazi kukarabati nyumba zao,kupanda maua na miti mbele ya nyumba zao na kuacha ufanyabiashara wa dola kinyume na sheria.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkoa wa zamani wa Cyangugu unaundwa na wilaya za kisasa za wilaya ya Rusizi na Nyamasheke ambazo serikali imenzisha miradi mbali mbali ya maendeleo hasa miundo mbinu kama vile barabara la Kivu belt ili kurahisisha uchumi na uwekezaji.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.