Home HABARI MPYA Wakati utafika Ufaransa itakubali ushiriki wake katika mauaji ya kimbali-Waziri Mushikiwabo
HABARI MPYA - KIMATAIFA - SIASA - October 30, 2017

Wakati utafika Ufaransa itakubali ushiriki wake katika mauaji ya kimbali-Waziri Mushikiwabo

Waziri wa mambo ya nje kwa  Rwanda,Louise Mushikiwabo akiwa nchini Ufaransa tarehe 29 Agosti 2017 ametangaza kwamba kuna wakati utakapofika Ufaransa ikubalie ushiriki wake katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

Waziri Mushikiwabo amemtaka Rais wa Ufaransa,Emmanuel Macron kutatua matatizo husika na mauaji ya kimbali  yaliyoko kati ya Rwanda na Ufaransa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Akizungumza na vyombo vya habari vikiwemo Le Monde,RFI na TV5 Monde ameleza kuwa Rwanda imechoka kusikiliza upelelezi usiomalizika,washahidi wa kila mala kuhusu eropleni ya Rais  Meja Jenerali Juvenal Habyarimana iliyodungua tarehe 06 Aprili mwaka 1994 kwa kusema kuwa viogozi wakuu wa Rwanda wakiwemo waziri wa wanajeshi,Jenereli James Kabarebe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Louise Mushikiwabo ametangaza kuwa anaona kuwa hili ni kudhamiria kuficha ushiriki wa waliosaidia serikali iliyotia kivitendo mauaji ya kimbali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya Rwanda kumrudisha barozi wake nchini Ufaransa baada ya Ufaransa kutangaza kuwa kuna mshahidi mwingine wa kesi ya watu waliodungua eropleni aliyekuwemo Rais Habyarimana.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.