Swahili
HABARI MPYA SIASA

Wagombea urais wafurahia jinsi kampeni zinavyoenda

Ikiwa kumekuwa na madai kwamba mojawapo ya shughuli za kampeni za wagombea zimetatiazwa na viongozi wa ngazi za chini na hata mojawapo ya wananchi hivi mambo yamebadilika na wagombea wanafurahia jinsi shughuli hizi zinavyokwenda.

Tukio hilo la kuwatatiza wagombea urais wa Rwanda lilifanya mojawapo wa viongozi wa ngazi za chini kukamatwa akiwemo meya wa Rubavu na viongozi wengine akiwemo pia Katibu mtendaji wa tarafa mojawapo za Nyaruguru.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya ngazi husika ikwemo wizara ya Utawala wa ndani na serikali za mitaa na hata polisi kukashfu viongozi hao Bwiza.com imeambiwa kwamba hadi sasa mambo yamebadilika.

Dkt. Frank amewaambia watangazaji habari baada ya Kampeni zake Bugesera za tarehe 24 Julai kumalizika kwamba kwa sasa anaridhika na jinsi mambo yanavyoendelea.

“naona mambo kwa sasa yamebadilika baada ya yaliyotokea Nyagatare wakitupeleka kuendesha Kampeni karibu na makaburi na hata Kirehe kuwapeleka wanafunzi kutuzomea. Naweza kusema kwamba MINALOC na Polisi ya nchi kuingia katika kesi hii”

Mgombea huyu pia alisema kwamba na hata kampeni zake za Kayonza na Rwamagana zilizoendeshwa Ijumaa tarehe 24.

Na kwa upande wa Mpayimana Phillipe inasemeka kwamba mambo yamekwisha badilika baada ya serikali kuchukua hatua za kwanza. Gatsinzi ambaye ni msimamizi wa Shughuli za kampeni za mgombea huru Mpayimana Phillipe naye amesema kwamba kwa sasa wananchi wako wanahudhuria kwa wingi na hata viongozi wa ngazi za chini wanawapa wagombea mapokezi mazuri.

Mojawapo wa raia wamekiri kwamba ni jambo muhimu kushuhudia kampeni za wagombea ili mpiga kura aweze kuwa anajua ukweli wa mipango ya wagombea na aweze kupiga kura ikiwa ana uhakika wa chaguo la hapa ameshtumu watu wasiokuja kushiriki kampeni wakiwa wanatarajia kupiga kura.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com