kwamamaza 7

Wachezaji wa Volleyball walio uawa katika mauaji ya Kimbari watakumbukwa mwezi Juni

0

Shirika la mchezo wa mchezo wa mikono (Volleyball) wa Rwanda (FRVB) wametayarisha mashindano ya kukumbuka kwa mara ya 23 mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, yatakayoanza mwezi juni 2017.

Mkutano wa ujumla ulio fanyika mwisho wa mwaka 2016 ndipo kahamasisha kuwa mashindano hayo ya kuwakumbuka walio kuwa wachezaji wa mchezo wa Volleyball walio uawa katika mauaji ya Kimabri dhidi ya Watusi na matumizi itakuwa miliyoni 12 pesa za Rwanda.

Kansime Julius kiongozi makamu wa shirika la mchezo wa mikono Volleyball Rwanda alisema kuwa walitayarisha mashindano hayo kwa ajili ya kuwakumbuka walio kuwa wachezaji na marafiki wa mchezo waVolleyball yatakayo fanyika mwezi juni mwaka huu.

Kansime eti “mashindano haya hua kila mwaka na tena timi kimataifa hushiriki ila sikumbuki vizuri tarehe ambazo michezo itaanza, itakuwa mwanzo wa mwezi Juni mwaka huu’’.

Orodha ya wachezaji wa Volleyball walio uawa katika mauaji ya Kimabri dhidi ya Watusi

 1. Iminamikore Bejamin(UNR Butare)
 2. Murekezi Regis (UNR Butare)
 3. Ntagugura Placide (UNR Nyakinama)
 4. Ntagwabira Basile(UNR Nyakinama)
 5. Kumuyange Egide(UNR Nyakinama)
 6. Karonji Canisius(UNR Nyakinama)
 7. Hategekimana Emmanuel (UNR Nyakinama)
 8. Gasinzigwa Michel (UNR Nyakinama)
 9. Rutayisire Théoneste (UNR Nyakinama)
 10. Niyongira Justin (UNR Nyakinama)
 11. Kagenza Alphonse (UNR Nyakinama)
 12. Rwagashayija Innocent (GSO Butare)
 13. Kayiranga Eric (GSO Butare)
 14. Kamonyo Jean Pierre (GSO Butare)
 15. Gabiro Eugene (GSO Butare)
 16. Ngoga Sebalinda Dominique (GSO Butare)
 17. Butare Alfred Toto (GSO Butare)
 18. Mukeshimana Martin (KVC kera bitaga Buhiri),
 19. Ulimubenshi Vénant (KVC)
 20. Rukamba Jean Marie Vianney (KVC)
 21. Mugandura Jean de la Croix (KVC)
 22. Gasana Callixte (KVC)
 23. Ntaganira Innocent, Théogène (KVC)
 24. Hategekimana Innocent (Petit Seminaire Butare)
 25. Sebalinda Gilles (Petit Seminaire Butare)
 26. Gakebuka Camile (Petit Seminaire Butare)
 27. Ngarambe JMV (Petit Seminaire Butare)
 28. Tumukuze Jean Bosco (Petit Seminaire Butare)
 29. Rutiyomba Toussaint (Petit Seminaire Butare)
 30. Rutsindura Alphonse (Petit Seminaire Butare)
 31. Uwimana Abdallah (MINITRANSCO)
 32. Rugira Marcellin (MINITRANSCO)
 33. Gakwaya Vincent (MINITRANSCO)
 34. Kayigamba André (MINITRANSCO)
 35. Ngamije Esdras (Electrogaz)
 36. Rudandi Jean Pierre (Electrogaz)
 37. Kabagema Sosthène (Electrogaz)
 38. Rugira Jean Bosco (Kigoma)
 39. Kamanzi Goretti(Les Lionnes)
 40. Mignonne (Les Lionnes)
 41. Karasira (Ouragan),
 42. Rugenera Landouard (College St André)
 43. Ugeziwe Jean Berchmas (Petit Seminaire Ndera)
 44. Mugaragu William (Ecole des Sciences Byimana).

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.