kwamamaza 7

Waakilishi wa Burundi kati EALA hawaoni sawa sawa usalama Rwanda

0

Hon. Nduwimina, mmoja wa wabunge watatu wa Burundi walionekana katika kikao cha EALA kwenye mkutano Kigali, alisema ya kwamba Rwanda ni mfanono bora katika usalama, wakati mwengine mwenzake Leonce Ndarubagiye yeye akisema kwamba haamini usalama wake na alikuwa amekataa kuja Rwanda katika huo mkutano wa EALA.

Tareke 6 Mach ndipo kiongozi wa bunge la jumuia ya Afrika mashariki Hon Daniel Fred Kidega alisema ya kuwa wabunge 4 wa Burundi ndio walifika kati ya wabunge tisa waakilishi wa Burundi, tano kati yao walikuwa na wasiwasi kuhusu usalama wao nchini Rwanda.

Katika maongezi, mbuge mwakilishi wa Burundi katika EALA, Hon Leonce Nduwimana, alisema ya kuwa wenzake walikataa kushiriki kwa niaba yao wenyewe, Rwanda hakuna tatizo la usalama.

Hon Nduwimana alisema ya kuwa mwenzake Leonce Ndarubagiye aliye fika Rwanda alhamisi wiki nenda ni mmoja wa tano walioandika kuwa hawatafika Rwanda wakisema hawaamini usalama wao, hivi hajue yupo wapi kwa sababu wakati alipo kuja hakumuarifu.

Juma inne ndipo wabunge wangeteua na kukubali ripoti kuhusu swala la wanaoishi karibu ya mipaka ya Tanzania, Kenya na Uganda haikufaulu kwa wahusika walikuwa wachache.

Ili uteuzi uwe inabidi kila nchi iwe na waakilishi watatu, hasa Tanzania ilikuwa na waakilishi wawili na ndipo kalazimishwa kutofanya uchaguzi.

Rwanda na Uganda walikuwa na waakilishi 8 kila upande , Burundi 3, Kenya 6 na Tanzania 2, taarifa husema ya kwamba walikuwa kwenye mkutano wa chama CCM.

Hon Odette Nyiramirimo mmoja wa waakilishi wa Rwanda kati EALA, alisema ya kuwa sheria yao husema kwamba mbunge akikosekana mara saba bila sababu aweza simamishiwa wala kufukuzwa.

Nyiramirimo lakini anasema ya kuwa yawezekana wabunge wa Burundi kutokuwepo Kigali kuwa walishitua kama vile mwenzao aliyefika Kigali alhamisi wiki nenda, yeye hatapata azibio kwa kuwa hesabu ya siku bado saba.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nyiramirimo alisema ya kuwa nchi haina uwezo wa kukataza mbunge kushiriki mkutano wa EALA kwa sababu wanajiongoza, kwa hao nchi ya Burundi haina budi kushutumiwa kuwakataza kufika kwenye mkutano Kigali, ila wabunge waweza azibiwa kwa ngambo yao kama vile husema umuseke.

Leo juma tano, kikao cha bunge wakikutana watazungumzia swala la kukubali ripoti na kuchunguza mradi na kutazama mambo ya plastiki yanayoweza haribu mazingira.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.