kwamamaza 7

Vladmir Putin kulipiza kisasi Barack Obama

0

[ad id=”72″]

Urusi imeamua kulipiza kisasi kabla ya Marekani kuamua kuwafukuza wanadiplomasia 35 wa Ususi wakishitakiwa kuingilia uchaguzi wa Marekani kupitia mtandao.

Hata kama Obama asema kwamba Urusi imekuwa ikiwadhalilisha maafisa wa Marekani, rais mteule wa Marekeni Donald Trump mara nyingi alikua akikanusha na kupuuzia habari hizo,  kwa sasa amesema atakutana na viongozi wa upelelezi wa Marekani ili kujua chanzo cha swala hilo.

Msemaji wa Vladmir Putin asema kwamba yale Urusi itakayochukua itakua kwa ajili ya Marekani. Pia watasubiri mpaka rais mpya wa Marekani aliyepinga taarifa hizo aingie madarakani. Urusi imekana madai yoyote ya udukuzi na kuvitaja vikwazo hivyo vya Marekani kama visivyo na msingi.

Alhamisi, ndipo waziri wa mambo ya kigeni nchini Marekani alitangaza kwamba mabalozi hao 35 kutoka Urusi kama hawatakiwe na ndipo wakapewa ma saa 72 kuondoka nchi Marekani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.