[ad id=”72″]

Viongozi wa Kiwanda cha Volkswagen, chenye kikao Ujerimani wamezungumza na rais wa Rwanda Paul Kagame jana tarehe 21 Disemba 2016.

Hayo ni baada ya mkataba wa kuanzisha kiwanda ambacho kitafungua milango mwaka kesho wa 2017.

kagame3
Kiwanda ya Volkswagen iko na kikao katika mji wa Wolfsburg huko Ujerimani na imefungua milango mwaka wa 1937 na ndio kampuni ambao hutengeneza mitogari nyingi ulimwenguni.
kagame2
Kiwanda ya Volkswagen iko na kikao katika mji wa Wolfsburg huko Ujerimani na imefungua milango mwaka wa 1937 na ndio kampuni ambao hutengeneza mitogari nyingi ulimwenguni.

kagame kagame1

kagame4
Inatarajiwa mwaka ujao wa 2017 kufikia mwisho kampuni itakuwa ikiunganisha motogari hizo ambazo wameanza kuzifanya wakiwa Rwanda.

kagame5

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina