kwamamaza 7

Viongozi tofauti wa India wameshirikiana na Wanyarwanda kwa kukumbuka

0

Tarehe 11 April 2017, Wanyarwanda ambao huishi India wameshirikiana na viongozi wa nchi hio kwa kukumbuka kwa mara ya 23 mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, tendo lilifanyika katika mji wa Dalhi.

Kupitia ukarasa wa twitter wa balozi wa Rwanda nchi India, wanadiplomasia wa nchi tofauti walikusanyika India wakishirikiana na Wanyarwanda.

Balozi wa Jamhuri ya Dominikani, Castellanos eti ”ninashirikiana na nchi ya Rwanda, nchi ambayo ni mfano wa umoja na upatanishi”.

Bishop Giambatista Diquattro mwakilishi wa kanisa la Apostolic Noncio katika ombi lake aliwakumbuka walio uawa katika mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi katika mwezi April mwaka wa 1994.

Kiongozi huo aliendelea na kuomba kuita jina kamili yaliyo fanyika Rwanda, kuita jina lengine mauaji ya Kimbari ni kuikana.

Kama vile wanasiasa wengine walioshiriki, walirudilia mfano wa Rwanda kwa kuzingatia umoja na kujijenga na kuomba uongozi wa Rwanda kuendelea na hatua nzuri walio anza.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.