kwamamaza 7

Viongozi nchini Uganda wafunguka” Hatukujua habari kwamba Rwanda inataka kudungua ndege ya Rais Museveni”

0

Viongzoi nchini Uganda wamepiga marufuku madai kwamba walipata habari za kuwa ndege ya Rais Museveni itandunguliwa na watu wenye uhusiano na Rwanda njiani kuelekea  kwenye mkutano nchini Burundi.

Viongozi waliokubali kuzungumza na Chimpreports wametangaza hawakupashwa hizo habari kuwa kisa hicho kitatokea.

Kwa haya, kuna ripoti kwamba wanamgambo waaminifu kwa Rwanda walikuwa na mpango wa kudungua ndege ya Rais Museveni ikielekea Burundi kwenye mkutano wa COMESA.

Kwa mujibu wa chombo cha habri, African Intelligence, maafisa wa upelelezi wa Ufaransa ndio walipasha Uganda habari za udunguzi wa ndege ya Rais Museveni.

Hata hivyo, viongozi nchini Uganda wamesema hawakupata hizi habari na kuwa hili halikutokea.

“ Sikusikia hayo mambo. Sikuona  jambo kama hili kwenye ratiba ya Rais” amesema Katibu wa Rais Museveni kwa wajibu wa mawasiliano na  vyombo vya habari.

Pia Msemaji wa Jeshi la Uganda, Brig. Richard Karemire amesema “ Lakini hayo mambo tunajua uzito wake na ofisi husika zinaweza kujadili hayo kwa vyeo tofauti”

Kwa upande mwingine, Kiongozi kwa upande wa Rwanda ambaye jina lake halikutangazwa ameitangazia Chimpreports  “ Hayo ni propaganda za hasimu wetu”

Pamoja na hayo, hizi taarifa zimeeleza Uganda inshtaki  Rwanda kuhusudia kuipaka masizi kwa kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.