Home HABARI Vijana 5 washutumiwa kampeni ya Gen. Muhoozi kwa uchahuzi wa rais siku za usoni
HABARI - January 31, 2017

Vijana 5 washutumiwa kampeni ya Gen. Muhoozi kwa uchahuzi wa rais siku za usoni

Polisi ya Kampala imewatiya mbaroni vijana 5 wakishutumiwa usambazaji wa taarifa isemayo kuwa mtoto wa Rais Museveni, Maj Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa atawaniya uchaguzi wa rais wa nchi Uganda mwaka wa 2021.

Msemaji wa polisi mjini Kampala Emilian Kayima amesema kuwa vijana hao wamekamatwa wakisambaza picha za Gen. Muhoozi na maandiko isemayo kuwa yupo tayari kuwaniya uchaguzi wa urais Uganda.

Aliendelea na kusema kuwa vijana hao walikua na taarifa kama wana habari, na kusema walikua na mpango wa kukusanya wana habari, ila upelelezi huendelea ili kujua lengo lao na kujua ni nani aliwatuma.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ngazi za usalama ambazo huwaweka vijana hao waliotoka sehemu mbali mbali, polisi imesema kua Maj. Gen Muhoozi amekana kuhusika na hayo, akisema kuwa yawezakana kuwa ni mitume wa wakaaji ambao wanataka atawale hata kama yeye hakuwaomba hayo.

Maj. Gen Muhoozi mwenye umri wa miaka 42, alibarilishiwa kazi ya kuwa jemadari akafanywa mshauri ndani ya ofisi ya urais wa rais Museveni anayehusika na vitendo tofauti.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com, chanzo:dailymonitor

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.