[ad id=”72″]

Katika mji mkuu Kinsaha pamoja na miji nyingi kama vile duniani hali ya utulivu imekua shwali kuhusu maandamano.

Kiongozi wa upinzini nchini humo Etienne Tshisekedi anaye julikana kama mpinzani nchini humo amewaita mashabiki wake kuipinga serikali ya rais Kabila.

Taarifa husema kwamba watu zaidi ya 20 wameuawa katika mgogoro baada ya muhula wa Kabila kufikia mwisho tarehe 19 Disemba 2016 na umehamishwa hadi 2018 na kanisa katolika linatarajiwa kuendelea na mazungumza kati ya serikali na upinzani.

Kanisa nchini Congo linaheshimiwa sana na yawezekana wataweza kuunganisha ili kusikilizana na kuacha mgomo .

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina