kwamamaza 7

Utafiti umeonyesha ya kuwa Wanyarwanda hawafurahie wapatanishi

0

Utafiti ulio fanywa na kundi la wanao toa msaada katika mambo ya sheria (LAF) umeonyesha ya kuwa raia wamoja wapatao 61,5%  kati ya watu 5503 walijibu ya kuwa hawakufurahia matatizo yaliyo tatuliwa na wapatanishi.

Utafiti huo ulikuwa na lengo la kujua kama Wanyarwanda wanapata furaha kwa kutatua maswala yao, na kama ngazi kuhusika wanazifahamu, kama wanajua haki zao na kusamba, kutatua shida na kumaliza tatizo kwa njia halali ama apana katika mahakama hata kama hufanywa katika na wahusika wa wendesha mashtaka.

Kupitia ngazi hio ndipo wakaaji wapatao 38,5% walionyesha ya kuwa walifurahia jinsi wapatanishi wanavyo tatua shida zao.

Mpatanishi katika wizara ya sheria Ntabagira Anastase alifafanua ya kwamba raia hawajaelewa huduma za wapanishi na hawakubali ya kuwa wapatanishi wao huendea sheria kama wale walio jifunza mambo ya sheria.

Munyamahoro Rene, mmoja wa kundi wanaosaidia kwa mambo ya sheria (LAF) alisema ya kuwa maamzi ya wapatanishi yaliofika mahakamani hakuna yaliyo badilika kwa hayo anaomba raia kuwasamini wapatanishi wao katika mambo tofauti.

Raia wa jimbo zote pamoja na mji wa Kigali walio fikiwa kuhusu utafili huo, walionyesha ya kuwa wanafurahia huduma wanazopewa  nangazi za msingi kwa kiwango cha 45%, kikao kwa kusaidia kwa mambo ya sheria (MAJ) kwa kiwango cha 95%, jamii za kiraia kiwango cha 96%, maamzi ya mahakama kwa kiwango cha 84%, kwa ujumla wanafurahia huduma za mahakama kwa kiwango cha 87%.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com,chanzo:imvaho

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.