kwamamaza 7

Usikule rushwa ukidhani utatoloka- Waziri Prof. Shyaka

0

Waziri wa Utawala wa Nchi, Prof. Anastase Shyaka amewaonya viongozi wanaopokea rushwa wakidhani kwamba watatoloka nchi baada ya kugunduliwa.

Waziri Shyaka amewambia viongozi Mkoani Kusini kwamba rushwa ni adui wa maendeleo na ni uahlifu usiozeeka.

“ Rushwa ni uhalifu usiozeeka, usipokee kwa kufikiri kwamba utamaliza miaka mitano nje kisha urudi nchini kutokana na kuwa uhalifu umezeeka,” Waziri Shyaka ameonya

“ Nataka muelewe namna ambavyo rushwa ni uhalifu mkubwa na mikakati iliyoanzishwa na nchi kuuadhibu.” Ameongeza.

Mkururugenzi wa Ofisi ya Upelelezi nchini Rwanda, Kanali Jeannot Ruhunga amesema mkoa wa kusini ungali kwenye msitari wa chini kuhusiana na kuripoti vitendo vya rushwa.

Idadi zinaonyesha kwamba mwaka 2017/2017 kulijitokeza kesi za rushwa 561 ambapo 265 walikuwa na hatia kotini.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.