kwamamaza 7

Mahakama kuu nchini Kenya yafanya kisa nadra

0

Mahakama kuu nchini Kenya imefanya jambo ambalo si rahisi kuonekana dunia nzima.Ni baada ya kufuta ushindi wa uchaguzi waRais Uhuru Kenyatta aliyetangazwa mshindi  akiwa na kura 8,203,290 (54.27%)

Tume ya uchaguzi ilisema Raila Odinga alipata kura 6,762,224 (44.74%)

Upinzani unadai mitambo ya tume ya uchaguzi ilidukuliwa na kuingiliwa kumfaa Rais Kenyatta.

Wakati wa kusikizwa kwa kesi, kulikuwa na mvutano kuhusu kukaguliwa kwa mitambo ya tume ya uchaguzi

Uchaguzi mwingine utafanyika katika kipindi kisicho juu ya siku 60.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.