kwamamaza 7

USA:Rais Paul Kagame afafanua namna ambavyo Afrika na UA vyaweza kujitegemea

0

Rais Kagame kupitia mazungumzo kwenye Bookings mjini Washington D.C ametangaza kwamba Umoja wa Afrika(UA) na Afrika haina budi  kujitegemea badala ya kutegemea msaada wa nchi za ugeni unaoweza kukomeshwa ghafla muda wowote.

Rais Kagame akihotubia kwenye Bookings

Rais Kagame amesisitiza kwamba ilikuwa murua sana kufanya mabadiliko katika umoja wa mataifa kwa kuwa shilika hili lilikuwa likitegemea sana msaada wa nchi za ugeni  kiwango cha 97%

Rais Kagame wakati wa mazungumzo

Kwa hiyo,matendo yake yalikuwa yanafuata mahitaji ya wadhamini badala ya  Wanafrika

[xyz-ihs snippet=”google”]

Havieleweki kwa pande zote mbili,faida za Wanafrika zilikosekana kivitendo,za Wadhamini zikashamiri”ameleza Rais Kagame.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameleza mkakati ulioanzishwa ili kujitegemea kwa Afrika ambao ni kundi la gwiji linalongozwa na Mnyarwanda Donald Kaberuka ili kutafuta mapato mengine ya kuchukua nafasi za msaada wan chi za ugeni.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.