Home HABARI MPYA USA:Raia wa Rwanda Gervais Ken Ngombwa ameazibiwa kufungwa miaka 15
HABARI MPYA - March 3, 2017

USA:Raia wa Rwanda Gervais Ken Ngombwa ameazibiwa kufungwa miaka 15

Munyarwanda Gervais Ken Ngombwa aliye shutumiwa kudaganya kikao kinacho husika na wanao ingia na kutoka Marekani akitafuta uraia ameazibiwa na mahakama ya Cedar Rapids mjini Lowa kufungwa miaka 15.

Mwendesha mashtaka Linda Reade alifafanua ya kuwa Ngombwa alihusika na mauaji ya Kimbari, ila alisema ya kuwa hajue hesabu ya watu Ngombwa alio waua ao wana chama chake na mashabiki wake alio watwaa katika gari lake, bila shaka yeye alikuwa kiongozi wa Chama MDR-Power. Aliongeza na kusema ya kuwa makosa kama hayo ni upande wa serikali ya Rwanda, ilimaanisha ya kuwa mwendesha  mashtaka alitaka kusema ya kwamba kiisha hilo azibio atapelekwa Rwanda.

Gervais Ngombwa alikuwa amehamasishwa na mahakama mbili ya Rwanda kuhusika ma mauaji ya Kimbari. Mwezi Januri 2016 ndipo mwendesha mashtaka wa mahakama ya Marekani alihakikisha ya kuwa Ngombwa alijaribu kupata uraia wa Marekani kinyume na sheria, alisema mambo ya uongo.

Ray Scheetz, msaidizi wa Ngombwa katika mahakama alisema ya kuwa mteja wake hakuua hata mtu mmoja Rwanda tena hakuwa kiongozi wa MDR-Power, hakutoa uito kwa mauaji na anasema ya kuwa mahakama hawakuleta washaidi walio muona akiua, kasema tena ya kuwa wizara ya usalama ndio walitoa ushuhuda kupitia walio ambiwa na washuhuda wenyewe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.