kwamamaza 7

Usalama wa Rais Kagame wagonga vichwa vya habari za kimataifa

0

Watangazaji wa Jeune Afrique wameweka wazi kushangaa kuhusu ulinzi wa Rais wa Rwanda,Paul Kagame hususani alipotembelea Ufaransa mwaka 2011.

Huyu alisema kuwa kiasi cha ulinzi wa Rais Kagame hajakiona hata kwa Waisraeli wala Marekani.

Pia,taarifa za Jeune Afrique tarehe 26 Novemba 2015 zilikuwa zikisema kwamba wapiga picha na watanagazaji walitakwa kuorodhesha vifaa vyote watakavyotumia baada ya kukubaliwa kuzungumza na Rais Kagame ila walikataliwa kumiliki simu za mikononi zao.

Hili lilikamilishwa na  mshiriki waa mkutano wa BAD,mjni Kigali mwaka 2014.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanaojua mengi kuhusu hili wanahakikisha kuwa Rais Kagame alikuwa na kundi la walinzi wake  tangu vita vya mwaka 1990.

Mmoja mwa wanaojua vilivyo historia ya NRA iliyogeuka UPDF,wanasema kwamba Rais Kagame anajali mno jambo la ulinzi wake na watu wengine walio pamoja naye.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Rwaka Gaston/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.