kwamamaza 7

Usalama hauhusiki na jeshi la UN pekee- Gen Nyamvumba [Mapicha]

0

Jemadari mkuu wa jeshi la Rwanda Gen. Patrick Nyamvumba, inchi za Afrika, dunia nzima kwa ujumla sherti waelewe kwamba usalama wa raia hauzuru jeshi la umoja wa mataifa (UN) unaohusika kulinda amani na kuleta usalama peke yao, ila kila mwananchi ni wa kwanza kwa kulinda amani ya wanainchi.

Kwa kumalizia mafundisho ya kimataifa ya mkataba wa Kigali kuhusu ulinzi wa raia, ametoa sababu na kusema kwamba kuna sehemu jeshi la UN linalinda usalama lakini usalama usipatikane ni kwa sababu jeshi hilo halipigani kwa sababu Fulani.

un1

[ad id=”72″]

un2

Eti “raia wavamiwa kwa hali tofauti na wengi huuwawa fasi nyingi ulimwenguni sana sana katika bara la Afrika kwenye inchi ambazo huwa na vita siku kwa siku na raia bila hatia ndio huteseka zaidi, kwa ukosefu wa vifaa, uhusiano mubaya kwa wanaohusika, na raia huteseka ijapokua wanaoweza kuwasaidia wapo pamoja nao.

un3

[ad id=”72″]

un4

Walioko kwenye mafundisho hayo ni wapatao 36 kutoka katika nchi 12 za Afrika, Uholanzi na Marekani na wote husema kwamba wamefaidika mengi kuhusu kulinda usalama wa raia na mwanzo mpango ulitiwa mkono mwezi Mei mwaka 2015 Kigali.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.